π πΊπ²π² Mnyama-Mwitu pv Mwenye Vichwa Saba Anayetajwa Kwenye Ufunuo Sura ya 13 Anawakilisha Nini?ππ² Jibu la Biblia ππ Mnyama-mwitu mwenye vichwa saba anayetajwa kwa mara ya kwanza katika Ufunuo 13:1 anawakilisha mfumo wa kisiasa wa ulimwenguni pote. Mnyama-mwitu huyo ana mamlaka, nguvu, na kiti cha ufalme, kuonyesha kwamba ana uwezo wa kisiasa.—Ufunuo 13:2. Ana mamlaka juu ya “kila kabila na watu na lugha na taifa,” na kwa hiyo hawezi kuwakilisha tu serikali ya nchi moja tu.—Ufunuo 13:7. Mnyama-mwitu huyo ana sehemu zinazofanana na zile za wale wanyama wanne wanaofafanuliwa kwenye Danieli 7:2-8. Kwa mfano, anatajwa kuwa na sura ya chui, miguu ya dubu, kinywa cha simba, na pembe kumi. Wanyama wanaotajwa katika unabii wa Danieli wanawakilisha wafalme hususa, au falme za kisiasa, zinazotawala kwa kufuatana juu ya milki tofauti-tofauti. (Danieli 7:17, 23) Kwa hiyo, mnyama-mwitu anayetajwa katika Ufunuo sura ya 13 anawakilisha tengenezo lote la kisiasa. ...
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2017
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
KUNYONYA KIDOLE KWA WATOTO. KUNYONYA KIDOLE KWA WATOTO Kwa watoto wadogo, kunyonya kidole ni kitu kama cha kawaida vile, ingawa ni kwa watoto wadogo tu, wakati mwingine kunyonya kidole ni njia ya kumfanya mtoto apunguze njaa, ajibembeleze na kujisikia salama,mara nyingi mtoto ataacha kunyonya kidole akiwa na umri wa miaka 3-6. Hebu tujiulize kwa nini mtoto anyonye kidole? Kwa watoto wengi wananyonya kidole kama mbadala wa kula chakula, au kupembelezwa na wakati mwingine ni kujiweka au kujisikia salama, ni kama tabia tu, ambayo mtoto alikuwa nayo tangu akiwa tumboni kwa mama yake, mara nyingi kunyonya kidole kunaletwa na hisia. Kunyonya kidole kuna madhara kwa baadhi ya watoto watakaoshindwa kuacha kunyonya kidole kwenye umri wa miaka 4. Inasababisha meno kutojipanga vizuri, wataalamu wa meno wamehusisha matatizo ya kuwa na meno yasiyo jipanga vizuri na kunyonya kidole. Kama mtoto atashindwa acha kunyonya kidole mpaka baada ya miaka 5, kuna uwezekanao mkubwa wa meno...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
ULAJI WA APPLE(TUFAA)HUKUWEKA MBALI NA DAKTARI,,,FAHAMU FAIDA ZA KE KIAFYA.π MATUFAA KWA AFYA,LISHE NA TIBA "An apple a day will keep the doctor away…An apple before bed makes the doctor beg his bread" (kula tunda moja la tufaa kila siku humfanya mtu asiwe na haja ya kuonana na daktari…kula tunda la tufaa kila siku humkosesha daktari mapato yake). Misemo hii ya Waingereza inaonyesha umuhimu wa matunda ya matufaa kwa ajili ya kudumisha afya ya binadamu, kukinga na kutibu magonjwa mbalimbali. Matufaa yana Vitamini K, nyuzinyuzi za chakula pamoja na dawa-lishe (phytochemicals) aina ya quercetin flavonoid. Faida za kiafya Matufaa ni tiba nzuri ya ugonjwa wa kuharisha. Husaidia katika matibabu ya uvimbejoto wa utumbo (colitis) Husaidia katika matibabu na kuzuia shinikizo la damu Husaidia katika tiba na kuzuia magonjwa ya mzio (allergy) pamoja na pumu ya mapafu. Hutibu tatizo la kupata choo kikavu au kutokupata choo (constipation) Ni dawa nzuri san...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Uyahudi ni nini na Wayahudi wanaamini nini? Swali: "Uyahudi ni nini na Wayahudi wanaamini nini?" Jibu: Uyahudi ni nini, na ni nini au nani Myahudi? Je, Ni Uyahudi dini tu? Je, ni utambulisho wa kiutamaduni au kabila? Je! Wayahudi koo za watu au ni taifa? Je, Wayahudi wanaamini nini, na wao wote wanaamini mambo sawa? Ufafanuzi wa kamusi wa "Myahudi" pamoja na "mwanachama wa kabila la Yuda," "Msraeli," "mwanachama wa taifa lililopo katika Palestina kutoka karne ya 6 BC kwa karne ya 1 A.D, " "ni uendelezo binafsi kupitia ukoo au uongofu wa watu wa kale kuwa Wayahudi, "na" mtu ambaye dini yake ni ya Kiyahudi." Kwa mujibu wa marabi Wayahudi, Myahudi ni yule ambaye ana mama Myahudi au mtu ambaye rasmi hubadilishwa kwa Uyahudi. Mambo ya Walawi 24:10 mara nyingi inachukuliwa kuupa uaminifu huu imani, ingawa Torati huifanyi madai maalum kwa msaada wa mila hii. Baadhi ya wanazuoni husema kwamba haina uhusiano wowote n...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
TATIZO LA KUKOSA CHOO PAMOJA NA TIBA. Kukosa choo ni tatizo kubwa katika jamii zetu japo huwa halionekani kama ni tatizo. Hata hivyo kuna vyakula ambavyo vinapatikana kwa urahisi na vinasaidia kutibu tatizo la kukosa choo kwa njia rahisi kabisa. Kwa kawaida mtu mwenye afya njema anatakiwa kwenda chooni angalau mara tatu kwa siku,lakini si ajabu kusikia mtu hajaenda chooni siku tatu na tunaona ni kawaida sana kwenda chooni mara moja kwa siku. Tatizo la kukosa choo (Constipation) linatokana na chakula tunachokula kuchelewa kuunguzwa tumboni hivyo kuchukua muda mrefu katika mfumo wa usagaji. Baadhi Ya Vitu Vinavyosababisha Tatizo La Kukosa Choo: Kutokunywa Maji ya Kutosha Kutokula vyakula vyenye fiba kama matunda na mboga za majani Ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi Unywaji wa maziwa kupita kiasi Kutofanya kaziza kushughulisha mwili na kukosa mazoezi. Vyakula Vinavyosaidia Kutibu Tatizo La Kukusa Choo Tende Maji Kahawa Na Vinywaji Vingine Vya Moto Ulaji Wa Matunda Au Saladi ...
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
πFAIDA ZA MLONGEπ Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu. Mti wa Mlonge Mti wa Mlonge Karibu kila sehemu ya mti huu hutumika kama dawa. Majani ya mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Unga wa mlonge unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya. Mbegu za mlonge zimekuwa dili kubwa duniani kwa sasa, zinahitajika kwa kiasi kikubwa katika nchi ya Marekani na China na kwa mjibu wa taarifa ni kuwa zinauzwa mpaka shilingi 45000 ya Tanzania kwa gramu 500. Walikuja pia wachina kuzinunua kwa wingi na walipokuwepo hapa Tanzania bei ya mbegu za mlonge ilifika mpaka 11000 kwa kg kwa bei ya jumla yaani kwa anayechukua kg 100 au 500 au 1000 na kwenda juu. Taarifa zisizo rasmi zinadai Wachina ...